Neno la Ukaribisho

Karibu katika Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Wilaya ya Mvomero ni mojawapo ya wilaya sita za kiutawala katika mkoa wa Morogoro imepakana na Wilaya ya Kilindi upande wa Kaskazini,Kilosa upande wa Magharibi,Wilaya ya Morogoro upande wa Kusini,na upande wa Kaskazini-Mashariki imepakana na wilaya za Bagamoyo na Handeni.